Na Mwalimu Miano Kidanha.
Dabo indiketa inashauriwa itumike wakati una dharula kubwa mfano:
Ajari au gari mbovu maana lengo lake ni kuwataarifu madereva wenzako kuwa gari yako inatatizo kwa hiyo wapite kwa uangalifu zaidi, lakini utakuta wengi wetu tunatumia visivyo mfano;
katika kupita njia panda au ukipaki
pembezoni mwa barabara. Pia niongezee kuna ambao aki lipita gari
anawasha indiketa ya kulia (hiyo sawa kabisa ila sasa unapotaka kurudi
upande wako wa kushoto huna haja ya ku indiketi tena ingawa kama kuna
gari nyuma yako na iko jirani sana Hata uko pekee yako unawasha indiketa tu.Katika gari za Automatic kuna gia za L, 2, 3 na O/D.Kwanza ujue kabisa katika hali ya kawaida gari yako inapaswa kuwa katika
D kwa maana ya Drive na hii inategemeana na mazingira ya barabara na
hali ya hewa kama ni nzuri ila 2, 3 hutumika tu pale unapokuwa kama unashuka au unapanda mlima/mteremuko mkali sana na mrefu mfano ’
milima sekenke na unataka ushuke au upande kwa speed ile ile ila isizidi 40/60
basi ndo unaruhusiwa kutumia 2, 3. Namba 2, 3 na L inamaana kuwa ina lock gear box ili gear zisibadilike (-/+) kama ambavyo zinabadika
ukiweka D na itambulike kuwa unaweza kubadili toka D kwenda 2 au 3
wakati wowote gari inapokuwa katika mwendo ila hakikisha usiwe speed
zaidi ya 40/60 maana kinachofanyika ni kwamba D inasababisha sahani
(disks) zilizomo ndani ya gearbox kufanya kazi na hivyo upelekea ile
hydrolic iliyomo kupata joto linalotoka katika zile sahani ambalo joto
lile husababisha gear box kutokuwa na nguvu ile ile (constant velocity)
na ndo maana ukiweka 2, 3
au L gear box inakuwa kwenye lock na sahani
hazisuguani maana inakuwa inatumika sahani/disk moja tu kwa hiyo
inasaidia ile hydrolick kupoa pia na ndo maana gari huongeza nguvu kwa
ghafla. L inatumika pale unapokuwa kama umekwama au unavuta gari
jingine au tera ila inapaswa itumike kwa muda mfupi sana maana ina nguvu
sana na pia inaongeza ulaji wa mafuta, kwa hiyo kama ukiishatoka katika mkwamo
na unaona bado barabara si nzuri labda utelezi au unavuta mzigo kwa
mwendo mrefu basi unaweka 2 au 3 na wakati huo huo unaweza kuweka hata D
kama hali ya njia na mzigo vinaruhusu na unaweza kuongeza walau speed
40/60 au zaidi kama utaweka D. kwa maana rahisi zaidi kwamba 2,3,na L
inafanya kazi kama gari ya Manual na hivyo inakuwa rahisi kwa yeyote
ambaye anafahamu kuendesha manual.
Over Drive inatumika pale gari inapokuwa speed zaidi ya 60/80 kutegemeana na aina ya gari na hili hutokea bila wewe kujua maana gari yenyewe ndo inafanya na ndo maana unashauriwa iwe on muda wote kusudi gari ichague ni wakati gani iweke on au off maana ikiwa chini ya 60/80 hata kama umeweka on bado inakuwa haifanyi kazi.Cha mwisho ndugu zangu ni kwamba O/D unaweza kuitumia kama break/stop engine hasa unapokuwa zaid ya 80 na wakati huo iko ON yaan katika dashboard taa ya O/D izime ikiwaka maana yake iko OFF, basi ili upunguze mwenda kwa haraka unachofanya ni kuweka OFF na wakati huo unakanyaga break taratibu utaona mwenyewe gari lako linavyopunguza mwendo tartibu na wakati
mwingine si lazima ukanyage break, we iweke OFF tu halafu toa mguu katika pedal ya mafuta gari lazima liwe slow down na kama lilikuwa ni tuta na umeliisha lipita basi iweke tena ON ongeza mafuta au unaweza kuweka 2 au 3 ili gari ianze kwa kasi zaidi na ikiisha changanya basi rudi kwenye D na endelea kama kawaida.
Tahadhari: usi kate kona wakati uko speed kubwa na gear namba tano (Kwa manual) au rpm iko 3000 Kwa automatic hii husababisha kupitiliza maana gari inakuwa nyepesi sana. Hakikisha ume slow down mpaka gia namba nne na break kidogo na Kwa autimatic either uweke 2 au 3 ila lazima weka OD off na break kidogo.
Dabo indiketa inashauriwa itumike wakati una dharula kubwa mfano:
Ajari au gari mbovu maana lengo lake ni kuwataarifu madereva wenzako kuwa gari yako inatatizo kwa hiyo wapite kwa uangalifu zaidi, lakini utakuta wengi wetu tunatumia visivyo mfano;
Over Drive inatumika pale gari inapokuwa speed zaidi ya 60/80 kutegemeana na aina ya gari na hili hutokea bila wewe kujua maana gari yenyewe ndo inafanya na ndo maana unashauriwa iwe on muda wote kusudi gari ichague ni wakati gani iweke on au off maana ikiwa chini ya 60/80 hata kama umeweka on bado inakuwa haifanyi kazi.Cha mwisho ndugu zangu ni kwamba O/D unaweza kuitumia kama break/stop engine hasa unapokuwa zaid ya 80 na wakati huo iko ON yaan katika dashboard taa ya O/D izime ikiwaka maana yake iko OFF, basi ili upunguze mwenda kwa haraka unachofanya ni kuweka OFF na wakati huo unakanyaga break taratibu utaona mwenyewe gari lako linavyopunguza mwendo tartibu na wakati
mwingine si lazima ukanyage break, we iweke OFF tu halafu toa mguu katika pedal ya mafuta gari lazima liwe slow down na kama lilikuwa ni tuta na umeliisha lipita basi iweke tena ON ongeza mafuta au unaweza kuweka 2 au 3 ili gari ianze kwa kasi zaidi na ikiisha changanya basi rudi kwenye D na endelea kama kawaida.
Tahadhari: usi kate kona wakati uko speed kubwa na gear namba tano (Kwa manual) au rpm iko 3000 Kwa automatic hii husababisha kupitiliza maana gari inakuwa nyepesi sana. Hakikisha ume slow down mpaka gia namba nne na break kidogo na Kwa autimatic either uweke 2 au 3 ila lazima weka OD off na break kidogo.
No comments:
Post a Comment